masuguru

Tangazo la cheti

Tangazo la cheti
tangazo

KLERUU

KLERUU
KLERUU

CAPRICORN

CAPRICORN

Ibada

Ibada

Tuesday, October 1, 2013

MAADMISHO YA SIKU KUU YA MTAKATIFU TERESIA WA MTOTO YESU TOSAMAGANGA LEO






IBADA ya Misa Takatifu inayoongozwa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa inaendelea katika Kanisa la Moyo Mtakatifu wa Yesu Parokia ya Tosamaganga.

Ibada hiyo ni maadhimisho ya Siku Kuu ya Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu ambayo hufanyika Oktoba Mosi kila Mwaka katika Kanisa hilo.

Watawa wa mashirika mbalimbali, Mapadre, Waamini kutoka sehemu mbalimbali wameshiriki katika maadhisho haya.

No comments:

Post a Comment