masuguru

Tangazo la cheti

Tangazo la cheti
tangazo

KLERUU

KLERUU
KLERUU

CAPRICORN

CAPRICORN

Ibada

Ibada

Monday, November 26, 2012

NZIGILWA KUZIKWA LEO SEMTEMA



Damu ya marehemu Bathlomeo Nzigilwa iliyotiririka baada ya kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.


Aliyekuwa mlinzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Kihesa Jimbo la Iringa Bathlomeo Nzigilwa anzikwa leo katika makaburi ya Semtema ndani ya Manispaa ya Iringa.

Nzigilwa alivamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia Novemba 15 mwaka huu na kumjeruhi vibaya na kufanikiwa kuvunja milingo ya Kanisa na kuiba baadhi mali.

Nzigilwa alifariki dunia 24 Novemba katika Hospitali ya Taifa ya Mhimbili alikopelekwa kutibiwa baada ya kutolewa katika hospitali ya Mkoa wa Iringa.

No comments:

Post a Comment