| Michael Kamuhanda |
Kweli Msigwa umenena vyema sana katika hili yatupasa tumuondoe madarakani huyo dhalimu Kamuhanda haiwezekani mtu afanye mauwaji yadhahili tena bila kificho then aendelee kuishi ndani ya ardhi yetu tena kwa uhuru.
Kiukweli hatumuhitaji kwa aliyoyafanya yanatosha kabisa naakiendelea kukaa Iringa atatuuwa wote.
Na ninavyomuona huyu kazoea kula nyama za watu ndio maana ananenepeana bila mpangilio.
Sura yake na umbo lake linasadifu roho mbaya yake. Yawezekana ni uchu wa kula nyama za watu ndio maana akadiliki kumuuwa Mwangosi ili agawane nyama na mabaradhuli wenzake.
Hakuna maana ya wanachi wa mkoa wa Iringa na vitongoji vyake kushiriki wiki ya usalama babarani wakati hatuna imani na jeshi la polisi, jeshi la polisi tafakalini kwa upya mmekosea wapi na mjipange upya vinginevyo mmekwisha kabisa na hatuna imani nanyi tena. Siwapendi askali polisi wote wa mkoa wa Iringa na laiti kama ningalikuwa na ndugu askali ningemvua undugu hivyo kaeni mkijua kuwa tunawachukia kuliko hata shetani kwa roho zenu mbaya.
A.K.A Mdau wa blog hii
Sitaki kuamini kama Tanzania hii inayoitwa kisiwa cha amani na nchi nyingine imekuwa kisiwa cha mauaji kwa wananchi wake wenyewe.
Naweza fananisha Tanzania na nguruwe ambaye hula vitoto vyake mwenyewe baada ya kuzaa.
Amani, upendo na uhuru vipo wapi Tanzania . Kikwete ipo wapi dhamana uliyopewa na watanzania waliokuamini kuwa utawalinda na kuwajali matokeo yake umekuwa kinyume chake na huoni thamani ya wanachi wako tena wasio kuwa na hatia, kuuwawa kinyama namna hii?
Hakika damu ya Mwangosi itakuwa laana kwa vizazi vyenu enyi viongozi wa Tanzania hii na msipo tubu na kuueleza umma ukweli mtakuwa katika hatari hapa duniani na hata jehanamu.
Sipaswi kuhukumu lakini nasema haya kwa uchungu wa kuwapoteza watanzania wenzangu wasio na hatia.
M. Mpenda haki
Waliozoea kuua watu macho yao mekundu kama uyo jamaa. Anafanya nini hapo kwenye kiti wakati mikono yake inanuka damu?
Atoke haraka kwenye kiti hicho analeta kichefuchefu kwetu. Umesikia Kamuhanda? Hatukutaki Iringa nenda kwa wauaji wenzako.
J.A. Kapambe
No comments:
Post a Comment