masuguru

Tangazo la cheti

Tangazo la cheti
tangazo

KLERUU

KLERUU
KLERUU

CAPRICORN

CAPRICORN

Ibada

Ibada

Tuesday, August 14, 2012

Wanachama wa IPC waanza kunufaika na mafunzo

Nyaronyo Mwita Kicheele akitoa mafunzo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Iringa yaliyoanza leo katika ukumbi wa Maktaba ya Mkoa

Washiriki wa mafunzo ya uandishi wa habari za uchunguzi



Aliyeshika kichwa ni Fulgence Malangalila akifikiria swali na aliyesimama ni Nyaronyo Kicheele akisubiri majibu kwa washiriki.

Kicheele aliyesimama katikati ya darasa akitoa maelezo kwa washiriki.

Waandishi wa habari na wanahama wa Clabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Iringa (IPC) wameanza kunufaika na mafunzo ya uandishi wa habari za uchunguzi.

Mafunzo hayo ambayo yanatarajiwa kufanyika kwa muda wa siku 6 katika ukumbi wa Makataba ya Mkoa ambapo mkufunzi ni Nyaronyo Kicheele ambaye ni mwandhishi wa habari za uchunguzi katika gazeti la Mwanahali.

Leo ikiwa ni siku ya kwanza waandishi wametakiwa kujipanga ili mafunzo hayo yatakapokuwa yanafungwa wawe na uwezo wa kuandika habari za kina.

Kicheele amesema hivi sasa waandishi wanatakiwa kujikita katika habari za uchunguzi ili kuibua mijadala na maovu yaliyofichika kwa manufaa ya jamii nzima.

No comments:

Post a Comment