masuguru

Tangazo la cheti

Tangazo la cheti
tangazo

KLERUU

KLERUU
KLERUU

CAPRICORN

CAPRICORN

Ibada

Ibada

Saturday, July 7, 2012

ULIWAHI KUJIULIZA WAPI PA KULALA UKIWA JIJINI TANGA? > USIHANGAIKE, NYUMBANI HOTELS and RESORTS NI JIBU LAKO. > UKIWA MOSHI NA MWANZA NYUMBANI HOTELS and RESORTS ZINAPATIKANA. > USITUMIE GHARAMA KUBWA PASIPO SABABU, NYUMBANI HOTELS and RESORTS NI WATATUZI


Hii ni NYUMBANI HOTELS and RESORTS iliyopo jijini Tanga

Muonekano wa NYUMBANI HOTELS and RESORTS kwa nje

NYUMBANI HOTELS and RESORTS

Swiming pools na muonekano wake

Huu ni moja ya ukumbi wa NYUMBANI HOTELS and RESORTS

Hiki ni moja ya chumba cha NYUMBANI HOTELS and RESORTS

Ukifika jijini Tanga usihangaike wapi pa kulala kwani NYUMBANI HOTELS and RESORTS wanatoa huduma bora na nafuu kwa kila mtu kwa kujali hali ya kiuchumi.

Gharama zake ni nafuu kulinganisha na hoteli zingine. Wahudumu ni watu wenye nidhamu, waliofunzwa wakafuzu, wana vigezo vyote.

Hoteli ipo barabara ya ya UHURU mkabala na jengo la ELIMU zamani.

NYUMBANI HOTELS and RESORTS ni hoteli zinazomiilikiwa na Mtanzania mzawa mwenye nia ya dhati kuwekeza katika nchi yake.

NYUMBANI HOTELS and RESORTS zinapatikana: 1. Moshi, 2. Jijini Mwanza, 3. Jijini Tanga.

Kwa Zanziabar maandalizi yanaendelea.

No comments:

Post a Comment