| Hayati Padre Gervas Mwogofi Paroko wa Parokia ya Kihesa aliyeaga dunia. Mazishi yalifanyika 31 Mei, 2012 Tosamaganga |
| Jeneza la Marehemu Pd. Mwogofi likiwa ndani ya Kanisa Kuu Kihesa wakatyi wa Ibada ya Misa Takatifu |
| Mhashamu Baba Askofu Tarcisius J.M. Ngalalekumtwa akiweka shada katika kaburi la hayati Pd. Mwogofi baada ya kuzikwa. |
| Mhashamu Baba Askofu Alfred Maluma wa Jimbo la Njombe akiweka shada baada ya kuzikwa Pd. Mwogofi |
| Hapa ni Kanisa la Tosamaganga baada ya Misa watu wakitoka kuelekea makaburini |
| Makamu wa askofu Pd. Aloyce Mdemu na Pd. Joseph Misunza wakitoa heshima wakati wa kuzika |
| Astarehe kwa amani Pd. Gervas Mwogofi. |
No comments:
Post a Comment