masuguru

Tangazo la cheti

Tangazo la cheti
tangazo

KLERUU

KLERUU
KLERUU

CAPRICORN

CAPRICORN

Ibada

Ibada

Monday, June 4, 2012

Kongamano la Ekaristi Kitaifa

TANGAZO

watu wote mnakaribishwa kaika Kongamano la Ekaristi Takatifu litakalofanyika kitaifa jimboni Iringa kuanzia Tarehe 07.06. hadi 10.06.2012.

Maaskofu mbalimbali wna wageni mbalimbali, madhehebu ya kidini na viongozi mbalimbali wa Serikali watakuwepo.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana nao kupitia barua pepe: kongaekaristi@gmail.com

Usomapo tangazo hili muarifu na mwenzako.

Nyote mnakarisbishwa.

No comments:

Post a Comment