masuguru

Tangazo la cheti

Tangazo la cheti
tangazo

KLERUU

KLERUU
KLERUU

CAPRICORN

CAPRICORN

Ibada

Ibada

Thursday, May 10, 2012

Iringa na mchakato wa jiji

Jalala katikati ya makazi ya watu maeneo ya Ngome

 

Mkoa wa Iringa unaandaliwa kuwa kukidhi vigezo vya kuwa jiji.


Pamoja na maandalizi yanayofanyika bado kuna changamoto mbalimbali zinazotakiwa kufanyiwa marekebisho ili kukidhi vigezo.

Changamoto hizo ni pamojana kuhifadhi mazingira ambapo miongoni mwake ni pamoja na kuwa na vyombo muhimu vya kuhifadhia takataka na kuwa na maeneo ya kurundika uchafu ambao unahitajika kusombwa na kutupwa maeneo husika.

Mtandao huu umebaini baadhi ya maeneo kutokuwa na vyombo muhimu kwa ajili ya kutupa taka kutoka majumbani kama vile maeneo ya Ngome Kata ya Kihesa ndani ya Manispaa.

Wakizungumza na mtandao huu baadhi ya wakazi wa Ngome wamelalamika kuchanga michango isiyoisha bila kuboreshewa maeneo ya kutupa takataka.


No comments:

Post a Comment