Monday, March 17, 2014
CCM YAONGOZA MATOKEO YA AWALI KALENGA
KATIKA uchaguzi wa ubunge uliofanyika jana katika Jimbo la Kalenga Mkoa wa Iringa Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza katika matokeo ya awali.
Katika matokeo yanayotarajiwa kutangazwa leo katika ofisi za Siasa ni Kilimo, hadi sasa vituo ambavyo matokeo yametufikia ni kama ifuatavyo:
CCM CHADEMA CHAUSTA
3946 1279 16
Matokeo hayo ni ya vituo 37 kati ya vituo 200 vilivyotumika kupigia kura.
Matoke ya ushindi yanatarajiwa kutangazwa leo baada ya kumaliza kukusanya matokeo ya vituo vyote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment