masuguru

Tangazo la cheti

Tangazo la cheti
tangazo

KLERUU

KLERUU
KLERUU

CAPRICORN

CAPRICORN

Ibada

Ibada

Saturday, November 23, 2013

JIMBO LA IRINGA LINAVYOFUNGA MWAKA WA IMANI KIJIMBO

Gari lililobeba Msalaba Mtakatifu kwenye maandamano yaliyoanzia katika Kanisa la Mikira Maria Consolata Parokia ya Mshindo kuelekea viwanja vya Kichangani ambapo Misa Takatifu inaadhimishwa kijimbo.

Waamini mbalimbali wakiwa kwenye maandamano.




Mhashamu askofu Tarcisius Ngalalekumtwa anapokea Msalaba kwa ajili ya maandalizi ya Misa Takatifu.

No comments:

Post a Comment