| Watu mbalimbali wakiingia katika Kanisa la Moyo Mtakatifu Tosamaganga kwa ajili ya Misa ya kumuaga Padre Liberatus Mwenda. |
| Huu ni wakati mwili wa Padre Liberatus Mwenda unaagwa katika Kanisala la Moyo Mtakatifu wa Yesu Tosamaganaga. |
| Hapa ni miongoni mwaombolezaji wa wakiwa Kanisani Tosamaghanga wakati wa kuaga mwili wa Padre Liberatus Mwenda |
Safari ya Padre Liberatus Mwenda inaanza katika Kanisa la Moyo Mtakatifu wa Yesu Parokia ya Tosamaganga ambapo watu mbalimbali wanauaga mwili.
Fuatilia matukio haya katika mtandao huu kuanzioa sasa.
No comments:
Post a Comment