masuguru

Tangazo la cheti

Tangazo la cheti
tangazo

KLERUU

KLERUU
KLERUU

CAPRICORN

CAPRICORN

Ibada

Ibada

Wednesday, May 22, 2013

WABUNGE WABUNI MBINU MPYA YA KUPIGANIA HAKI ZA WANANCHI





WAKATI wa uchaguzi wagombea katika nafasi mbalimbali huomba jamii iwapatie nafasi kwa ajili ya kuwawakilisha bungeni katika kupigania haki zao.

Baada ya kupata nafasi hizo wakiwa katika kupigania haki za wananchi hao, hutumia njia mbalimbali katika kuomba na kudai kile wananchi wanataka.

Katika picha ni mbinu au njia mojawapo ya kuwawakilisha wananchi katika kuitaka serikali kuwahudumia wananchi.

Mbinu hiyo huenda ikwa mpya au ni mwendelezo wa waasisi wa mbinu hiyo ya kudai na kupigania haki za wananchi.

No comments:

Post a Comment