masuguru

Tangazo la cheti

Tangazo la cheti
tangazo

KLERUU

KLERUU
KLERUU

CAPRICORN

CAPRICORN

Ibada

Ibada

Wednesday, February 20, 2013

Mfanyakazi wa TANESCO ajeruhiwa na umeme

Selemani Mbuma mfanyakazi wa TANESCO akiendelea kuungua juu ya nguzo baada ya umeme kuwashwa akiwa katika matengenezo ya umeme katika moja ya transfoma.

Selemani Mbuma mfanyakazi wa shirika la umeme TANESCO Mkoa wa Iringa akiwa amepata ajali wakati akiwa katika marekebisho ya transfoma.

Ajali hiyo iliotokea jana katika maeneo ya  Mlandege ndani ya Manispaa ya Iringa baada ya umeme kuwashwa wakati akiendelea na marekebisho hayo.

Mbuma alijeruhiwa vibaya wakati juhudi za mafundi wenzake na wananchi waliosogea katika tukio hilo kumuokoa zikifanyika huku moto ukiendelea kuunguza nguo na mwili kwa ujumla.
 
Kwa mujibu wa wafanyakazi hao, tukiohilo hilo  lilitokana na uzembe wa mafundi wenzake kwa kuwasha umemu wakati mategenezo hayajakamilika.

Majeruhi huyo alikimbizwa katika Hospitali ya rufaa mkoani hapo kwa matibabu ambapo hadi sasa anaendelea kupata matibabu.

No comments:

Post a Comment