masuguru

Tangazo la cheti

Tangazo la cheti
tangazo

KLERUU

KLERUU
KLERUU

CAPRICORN

CAPRICORN

Ibada

Ibada

Sunday, November 4, 2012

Ajali imetokea na kujeruhi vibaya

Ajali imetokea katika makutano ya barabara ya mashine tatu na batabara ya Uhuru ndani ya Manispaa ya Iringa iliyohusisha gari (taxi) mack II na pikipiki.

Gari lenye namba za usajili T 189 ACK na pikipiki ambayo namba zake hazikuonekana kwa urahisi kutokana na kuharibika vibaya ilitokea jana majira ya saa 1 jini.

Dereva wa pikipiki hata hivyo hakutambuliwa kwa urahisi kutona na kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa na wasamalia wema kumkimbiza hospitalini.

Baada ya majeruhi huyo kukimbizwa dereva wa gari hilo naye alitoroka kabla ya mtandao huu kupata jina lake.

Chanzo cha ajali hiyo kilitokana na uzembe wa dereva wa gari kuingia sehemu ambayo hakutakiwa kuingi kutokana na kuonesha kuwa anaingia sehemu nyingine kumbe anaingia ambako hakuonesha.

Hata hivyo hakuna askari aliyetokea katika eneo la tukio licha ya tukio kutukia jirani na kituo cha polisi.

No comments:

Post a Comment