![]() |
| Maelfu ya wananchi wakihudhuria mazishi ya Daud Mwangosi |
![]() |
| Waziri ofisi ya Rais na Mbunge wa Rungwe Mashariki Mark Mwandosya akitoa salam kwa niaba ya serikali |
![]() |
| Wanchi mbalimbali wakiwa msibani |
![]() |
| Waandishi wa habari wa Mkoa wa Iringa wenye fulana nyeupe wakiwa makaburini |
![]() |
| Rais wa umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania Keneth Simbaya aliyevaa fulana nyeupe wakizungumza na wenzake juu ya msiba huu |
![]() |
| Rais wa umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania Keneth Simbaya pamoja na waandishi wa habari wamebeba jeneza kupeleka kaburini |
![]() |
| Jeneza linashushwa kwenye kaburi |
![]() |
![]() |
| Kaburi linafukiwa |
![]() |
| Mke wa marehemu Daudi Mwangosi akiwa amelala juu ya kaburi la mumewe akilia kwa uchungu |
![]() |
| Dk. Slaa akiweka shada juu ya kaburi la marehemu Mwangosi |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Willibrod Slaa akitoa heshima ya mwisho |
![]() |
| Mh. Mark Mwandosya na mkewe wakiweka shada juu ya kaburi |
![]() |
| Waandishi wa habari wakipiga picha |
![]() |
| Mke wa marehemu Daud Mwangosi katika machungu yake |
![]() |
| Baadhi ya wananchi walioshiriki kumzika Mwandishi wa Habari wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten Daud Mwangosi |
![]() |
| Katibu msaidizi wa chama cha waandishi wa habari Mkoa wa Iringa Francis Godwin akitoa maelezo juu ya mauti ya Mwangosi yalivyomkuta |
![]() |
| Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Willibrod Slaa akieleza juu ya kifo cha Mwangosi |



















No comments:
Post a Comment