masuguru

Tangazo la cheti

Tangazo la cheti
tangazo

KLERUU

KLERUU
KLERUU

CAPRICORN

CAPRICORN

Ibada

Ibada

Wednesday, July 4, 2012

Mwanahalisi, Raia mwema, Mwananchi na Kwanza Jamii yapenya vijijini

Wanchi wa kijiji cha Mkalanga wakisoma magazeti huko kijijini

Magazeti ya Mwanahali, Raia mwema, Mwanchi na Kwanza Jamii yamepenya hadi vijijini katika Mkoa wa Iringa kuwafikia wananchi wa vijijini wasio na usezo wa kufika mijini.

Mtandao huu umeshuhudia wananchi wa kijiji cha Mkalanga Kata ya Ukwega Wilaya ya Kilolo wakiwa wamekusanyana kusoma magazeti hayo kujua kinachoendelea nchini.

Wakizungumza na mtandao huu wananchi hao wamesea kuwa licha ya kuwa wanasikia kuwa kuna vyombo vingi vya habari, magaeti yanayowafikia ni hayo tu.

Wakiwa na furaha kuyapata magazeti hayo, wametoa ombi kwa wamiliki wa vyombo vingine kuwa wafanye jitihada kuwafikia wananchi wa vijijini kama wanavyofanya wengine.

Mtandao huu umebaini kuwa Kata za Ukwega, Udekwa, Kimala, Idete, Mtitu, Dabaga, Bomalang'ombe wananchi hawajui vyombo vya habari ni nini pamoja hata redio zinawafikia kwa taabu.

No comments:

Post a Comment