| Mwili wa hayati askofu msaafu Raymond Mwanyika |
| Waimbaji wakiimba nyimbo za maombolezo kanisani. |
Misa ya kumzika askofu mstaafu Raymond Mwanyika inaendelea katika Kanisa la Mt. Yoseph Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Njombe.
Misa hiyo inaongozwa na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa.
No comments:
Post a Comment