Wauza bangi watumia mbinu mpya > Wasafirisha katika madumu ya mafuta ya kula pasipo kufungua mifuniko
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa Peter Kakamba akitoa na kuonesha bangi kutoka katika moja ya madumu ya mafuta aina ya Oki. Ikiwa ni mbinu yao mpya ya usafirishaji wa bangi kwa kutoboa kwa chini madumu yenye mafuta ya kula na kufunga ili wasistukiwe.
Hawa ni askari Polisi wa Mjini Iringa, usidhani walikuwa wakinunua mafuta ya kula, Hapana. Ndani ya madumu hayo ya kuhifadhia mafuta walibaini kuwepo kwa bangi iliyokuwa ikisafirishwa kupelekwa Tunduma Mbeya
No comments:
Post a Comment