Stendi ya daladala ya Miyomboni katika Manispaa ya Iringa inazidiwa kwa wingi wa magari na ongezeko la abiria.
Wakizungumza na mtandao huu madereva wa magari hayo wamelilalamikia suala la kutozwa ushuru kila siku bila kuboreshwa kwa eneo la kuegesha magari hayo.
Sambamba na ongezeko la magari stendi hiyo inakabiliwa na changamoto ya kukosa huduma ya vyoo kwa abiria na wafanyabiashara wa maeneo hayo.
No comments:
Post a Comment