masuguru

Tangazo la cheti

Tangazo la cheti
tangazo

KLERUU

KLERUU
KLERUU

CAPRICORN

CAPRICORN

Ibada

Ibada

Wednesday, May 9, 2012

Stendi ya daladala Miyomboni inazidiwa na wingi wa magari na abiria kutokana na udogo wa eneo lake ambayo ilijengwa takribani miaka miaka 20 iliyopita.

Wakiongea na mtandao huu madereva wa magari yanayoegeshwa katika stendi hiyo wamelalamikia suala la kutozwa ushuru kila siku pasipo kubireshwa kwa eneo hilo.

Sambamba na ongezeko la magari, pia stendi hiyo inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa huduma ya vyoo.

No comments:

Post a Comment